17. Juni 2025

Nick , zawadi ya Pasaka

    Kabla ya Nick VI. kufunga safari ya kuelekea uwanja wa ndenge wa Düsseldorf , aligonga mlango wa TanZebras FC, kwasababu angependa kuwatembelea  akiwa katika ziara zake kule Tanzania.    Kutokana na habari hii njema, wazo likazua punde hii, kwamba Nick angeweza kubeba vifaa kadhaa wa kadhaa na kuvileta …

Nick , zawadi ya Pasaka Read More

Beji ya Nahodha

Katika michuano ya Ulaya, Bernard Dietz alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani na pia ndiye nahodha aliyesaidia timu katika ushindi. Wachezaji mashuhuri ambao pia walikuwepo katika nyakati zake ni kama vile Karl-Heinz Rummenigge, Klaus Allofs, Lothar Matthäus  na Toni Schumacher. Lakini ilikuwa ni mchezaji wa MSV Ennatz ambaye ndiye …

Beji ya Nahodha Read More