Utendaji mzuri wa Tanzebras katika ligi yao ya kwanza
Hatimaye, mpira wa miguu katika ligi ya tatu tena! TanZebras wamecheza mechi kadhaa za kirafiki ili kujitayirisha kuanza kwa ligi na kuwa tayari kwa ajili ya msimu. Jana, saa 15:00 jioni, wakati ulifika: Kisa FC na TanZebras FC walipatana katika “uwanja wa Magereza kucheza mechi ya kwanza ya Ligi ya …