2. Disemba 2021

Tunasema kwaheri Peter

Siku ya Alhamisi, tarehe 12 Machi, tulipokea habari ya kuhuzunisha mno ya kwamba  Hessenzebra wetu, alias Peter Routhier,  aliaga dunia baada ya kupambana na ugonjwa wake wa saratani. Ilikuwa ni mwezi uliopita tu ambapo tulituma matakwa yetu ya kupona katika video hii fupi : Sisi kama TanZebras, ambao tulijiunga na …

Read More

Tanzebras yamtakia Hessenzebra ahueni ya haraka

Peter, anayejulikana kama Hessenzebra, ni Zebra halisi na msaidizi wa dhati wa MSV Duisburg kwa miongo mitano. Habari za ugonjwa wake na chanzo cha ugonjwa wake kiliwasikitisha mno TanZebras na kufanya wengi wao walie sana na hatimaye kujiunga mikono kumsaidia Peter. Jambo hili ni la kusikitisha sana na ni ambalo …

Read More

Ujenzi wa Kisima yakamilishwa

  Ujenzi wa Kisima shambani umekamilika.  Maandalizi ya udongo yatafanyika katika siku chache zijazo kabla ya miche kupandwa na Utamaduni wa Kilimo cha muda mrefu (Permaculture) hatimaye kung’oa nanga.Ubalozi wa Ujerumani unaunga mkono mradi huo kwa kiwango cha tarakimu tano.    Hii ni hatua nyingine ambayo itawasaidia wanatanzebras kujisimamia. Katika …

Read More

Mipira Mpya ya TanZebras

Tumefurahia kuwaletea Derbystar, kama mshirika wa Tanzebras. Derbystar ni wanaspesheli katika uundaji wa mipira ya Bundesliga, na wataweza kutupa mipira mingi sana, ambazo zitatumwa Tanzania punde nafasi ya kuzituma itatokelzea. Ahadi hii ya Derbystar inatupa motisha kuendelea na kazi hii yetu na tunafurahia sana kujiunga katika ustawishaji wa talanta ya …

Read More

Paradiso ndogo kwa wana TanZebras!

  Je ungependa kushirikiana nasi kwenye uanzilishaji? Jiunga nasi katikaTanzebras Adventkalenda  Hapa waeza kujiunga kaika kampeni za Krisimasi! Hapa utapata Adventkalenda (Mlango mmoja utafunguliwa kila siku kuanzia tarehe 01.12.2020)   Wakati uo huo waweza kujishindia mojawapo ya zawadi kubwa au ndogo ambazo zimefichikia katika milangi hizi 24!   Pesa hizo …

Read More

Msaada Umewasili!

Baada ya miezi kadhaa, mashabiki wa timu ya MSV Duisburg walifanya michango ili kununulia Tanzebras vifaa. Hapo mwanzoni wa mwaka, viatu na mipira viliwasili Gongo la Mbotoni, na hatimaye, katika mwezi wa Agosti, majezi, mashati, koti na vifaa tofauti tofauti kama vile hata saa ya ukutani wa timu ya MSV …

Read More