Karume Market Fc vs. TanZebras (3:1)
MATCH REPORT (KARUME FC VS TANZEBRAS FC) Ni mechi ya mwisho ya kundi A katika ligi daraja la 3 ambayo ilizikutanisha timu ya Karume FC vs TanZebras FC. Mchezo ambao ulikua mgumu sana kutokana na timu ya Karume FC kuhitaji alama moja tu ili iweze kufuzu hatua inayofuata lakini kwa …