7. Machi 2024

Beji ya Nahodha

Katika michuano ya Ulaya, Bernard Dietz alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani na pia ndiye nahodha aliyesaidia timu katika ushindi. Wachezaji mashuhuri ambao pia walikuwepo katika nyakati zake ni kama vile Karl-Heinz Rummenigge, Klaus Allofs, Lothar Matthäus  na Toni Schumacher. Lakini ilikuwa ni mchezaji wa MSV Ennatz ambaye ndiye …

Beji ya Nahodha Read More

TanZebras wapata mafunzo ya kilimo cha muda mrefu (Permaculture)

Sophia na Franco wa Tanzebras hivi sasa wako Zanzibar wanahudhuria semina ya permaculture.  Maarifa ambayo watapata katika semina, wataenda kuwafunza wachezaji wenzao watakaporudi Dar es Salaam . Hatua inayofuata ya kuwafanya wanatanzebras waweze kujitegemea imeshachukuliwa: Wachezaji wetu Sophia na Franco kwa sasa wanajifunza nguzo za msingi za kilimo cha muda …

TanZebras wapata mafunzo ya kilimo cha muda mrefu (Permaculture) Read More