Ujenzi wa Kisima yakamilishwa
Ujenzi wa Kisima shambani umekamilika. Maandalizi ya udongo yatafanyika katika siku chache zijazo kabla ya miche kupandwa na Utamaduni wa Kilimo cha muda mrefu (Permaculture) hatimaye kung’oa nanga.Ubalozi wa Ujerumani unaunga mkono mradi huo kwa kiwango cha tarakimu tano. Hii ni hatua nyingine ambayo itawasaidia wanatanzebras kujisimamia. Katika …