22. Oktoba 2021

Mgeni Zanzibari

  Mash Marley, mtayarishaji wa nyimbo katika studio ya Stonetown Records huko Zanzibari, ambaye tayari alikuwa amerekodi wimbo wetu wa TanZebra, aliguswa sana na juhudi zetu za kuwasaidia watoto wasiojiweza, kwamba mara moja naye alianzisha chuo cha mpira wa miguu: Kwahani FC.   TanZebras FC ilialikwa kama mgeni rasmi wa …

Read More

Tamasha la Eid Mubarak

Huku msimu wa Ramadan ulipofika mwisho, Familia ya Tanzebra iliweza kukuja pamoja ili kusherehekea Eid Mubarak kama familia moja.   Watoto wote, karibu mia moja pamoja na familia zao walialikwa kwenye tamasha hili la kuvutia , ambapo kulikuwa na kucheza densi nyingi  na sherehe chungu nzima. Padri aliyewakilisha wakristo, pamoja …

Read More

Nick , zawadi ya Pasaka

    Kabla ya Nick VI. kufunga safari ya kuelekea uwanja wa ndenge wa Düsseldorf , aligonga mlango wa TanZebras FC, kwasababu angependa kuwatembelea  akiwa katika ziara zake kule Tanzania.    Kutokana na habari hii njema, wazo likazua punde hii, kwamba Nick angeweza kubeba vifaa kadhaa wa kadhaa na kuvileta …

Read More