Mashindano ya Krismasi yafua dafu – Sehemu ya kwanza
Katika kipindi cha mwisho cha Krismasi, tulitoa kalenda maaluma mbapo tuzo 24 ziliweza kushindwa. Mshindi mmoja, alikuwa ni Kathrin kutoka Duisburg; ambaye angeweza kuhudhuria ziara ya ”Kiez-Tour” pale St. Pauli. Sasa kila kitu kilikuwa kimeandaliwa na Sigi, TanZebra wetu kutoka kule kaskazini, ambaye alikuwa tayari kumuonyesha Kathrin na …