9. Disemba 2024

Mgeni Zanzibari

  Mash Marley, mtayarishaji wa nyimbo katika studio ya Stonetown Records huko Zanzibari, ambaye tayari alikuwa amerekodi wimbo wetu wa TanZebra, aliguswa sana na juhudi zetu za kuwasaidia watoto wasiojiweza, kwamba mara moja naye alianzisha chuo cha mpira wa miguu: Kwahani FC.   TanZebras FC ilialikwa kama mgeni rasmi wa …

Mgeni Zanzibari Read More

Mashindano ya Krismasi yafua dafu – Sehemu ya kwanza

  Katika kipindi cha mwisho cha Krismasi, tulitoa kalenda maaluma mbapo tuzo 24 ziliweza kushindwa. Mshindi mmoja, alikuwa ni Kathrin kutoka Duisburg; ambaye angeweza kuhudhuria  ziara ya ”Kiez-Tour” pale St. Pauli.   Sasa kila kitu kilikuwa kimeandaliwa na Sigi, TanZebra wetu kutoka kule kaskazini, ambaye alikuwa tayari kumuonyesha Kathrin na …

Mashindano ya Krismasi yafua dafu – Sehemu ya kwanza Read More