Tunaomboleza kifo cha Furaha!
Familia ya TanZebra inaomboleza kifo cha Furaha (”Happy” kwa Kiingereza). Furaha alikuwa na miaka 15 tu, alipoaga dunia usiku wa kuamkia leo, wa sababu ya shida ya moyo wake. Malkia wetu wa kwanza anaacha shimo kubwa sana katika jamii yetu. Furaha, ulikuwa msichana wa kwanza aliyedhubutu kucheza mpira …