7. Machi 2024

TanZebras wapata mafunzo ya kilimo cha muda mrefu (Permaculture)

Sophia na Franco wa Tanzebras hivi sasa wako Zanzibar wanahudhuria semina ya permaculture.  Maarifa ambayo watapata katika semina, wataenda kuwafunza wachezaji wenzao watakaporudi Dar es Salaam . Hatua inayofuata ya kuwafanya wanatanzebras waweze kujitegemea imeshachukuliwa: Wachezaji wetu Sophia na Franco kwa sasa wanajifunza nguzo za msingi za kilimo cha muda …

TanZebras wapata mafunzo ya kilimo cha muda mrefu (Permaculture) Read More

Bima na Mikataba – Kazi ya Ofisini yaleta raha kweli!

  April 2020: Corona yatia dunia nzima katika hali ya wasiwasi.  Uropa ipo katika hali ya hatari. Soka kote umeghairishwa. Iwapo wachezaji wanaweza kucheza, mashabiki nao hawaruhusiwi kuingia kwenye viwanja vya michezo. Lahaula lastaflahi! Kuelekea Kusini, kule Gongo La mboto, eneo la Dar Es Salaam, Tanzania, Don ana mawazo mazuri …

Bima na Mikataba – Kazi ya Ofisini yaleta raha kweli! Read More

Mechi iliyoairishwa dhidi ya Dar Star FC ya isha bure kwa bure

Mechi dhidi ya Dar Star FC iliweza kuchezwa hatimaye baada ya T.F.F. kuiairisha, kwa sababu Marefa walichelewa kufika katika hatua ya kwanza. Wakati ulifika na Timu yetu ilihofia ushindi huu muhimu. Angalau pointi moja kwa timu hizi mbili ilikuwa ni lazima. Wote waliweza kuing’ang’ania kwa udi na uvumba. Mchwano huu …

Mechi iliyoairishwa dhidi ya Dar Star FC ya isha bure kwa bure Read More