13. Septemba 2024

Together we can! Wimbo wa kusisimua…

Together we can- Elimu ya Ubunifu

Baadhi yenu huenda mshauskia wimbo huo wakati wa mapumziko kwenye runinga ya Magenta, kwa sababu MSV Duisburg tayari imeshaucheza  wakati wa mapumziko na mascot Ennatz tayari alikuwa na wimbo huo kwa namba tatu kwenye orodha yake ya Nyimbo.
Wakati timu ya kwanza kwa sasa inashughulika na maandalishi  ya ligi ya tatu, tuliandaa wikendi nzima katika studio za Stone Town, kule Zanzibari, mwanzoni mwa msimu  wa mvua,  ili wachezaji Musa na Franco waweze kujiingiza katika sanaa ya muziki. Wazo hilo lilipata sapoti kutoka kwa lebo ya muziki chini ya uongozi wa Lorenz Hermann kutoka Ujerumani.

Bernard Beatz Productions yapatana na Afro Pop.

Kwa sababu tuliruhusu kila mmoja wao kuwa huru katika muundo wa wimbo huu, ilisisimua kusikia kilichotokea hatimaye. Kwa hivyo iligeuka kuwa mchanganyiko wa hisia za  Afro Pop , Caribbean- na wimbo huo ulikuwa wa kusisimua kweli….

Na kwa kuwa matokeo yalikuwa mazuri sana, tuliweza kutumia mtandao wetu kutengeneza video, ile nanyi pia  mupate fursa ya kuutazama.
Kazi iliyohusika kuandaa Viedo huo ilihusu kazi nyingi, kama vile kutafuta ufumbuzi wa ubunifu kwa video, kuandika mistari ya wimbo na mpangilio wa muziki. Ubunifu wa vyombo vipya vya habari. 
Kama umependezwa na wimbo huu, unaweza kuupata hapa bure:

 

 

Mtu yeyote ambaye ana kiasi kidogo cha fedha mkononi anakaribishwa kuchukua moyo kutoka kwa MSV na kulipia chini ya timu ya”Zebra Herd e.V. ”
Anayependa pia kuchangia mradi huu wa mpira wa miguu kwa njia ya ujuzi wao au mawazo yao anakaribishwa kuwasiliana nasi katika info@tanzebras.com na bila shaka tunafurahia kupokea michango yote.
Jee unapenda video na  wimbo huu? Tafadhali tupe maoni yako.

 

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *