22. Oktoba 2021

Nick , zawadi ya Pasaka

    Kabla ya Nick VI. kufunga safari ya kuelekea uwanja wa ndenge wa Düsseldorf , aligonga mlango wa TanZebras FC, kwasababu angependa kuwatembelea  akiwa katika ziara zake kule Tanzania.    Kutokana na habari hii njema, wazo likazua punde hii, kwamba Nick angeweza kubeba vifaa kadhaa wa kadhaa na kuvileta …

Read More

Beji ya Nahodha

Katika michuano ya Ulaya, Bernard Dietz alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya Ujerumani na pia ndiye nahodha aliyesaidia timu katika ushindi. Wachezaji mashuhuri ambao pia walikuwepo katika nyakati zake ni kama vile Karl-Heinz Rummenigge, Klaus Allofs, Lothar Matthäus  na Toni Schumacher. Lakini ilikuwa ni mchezaji wa MSV Ennatz ambaye ndiye …

Read More

Bonanza ya Tanzebras yaimarisha umoja

  Michwano ya klabu imeimarisha zaidi mshikamano mna umoja miongoni mwa wachezaji. Hadithi ya mafanikio inaendelea: Hivi sasa kuna karibu wachezaji 100 ambao wanachezea Tanzebras,ambao walishindana dhidi yao wenyewe kwa wenyewe katika timu tano mwishoni mwa wiki.  Jumapili iliyopita, Bonanza la kwanza la TanZebra lilifanyika Gongo La Mboto. Kutokana na …

Read More

Wasanii wa Mpira wapatana na wasanii

Jumamosi, Oktoba 17, 2020 Tanzebras waalikwa katika Nafasi Art Space. Siku hii ilifaa kuwapea watoto nafasi katika zanaa za maonyesho. Nafasi Art Space ulianzishwa mwaka wa 2008. Hapo awali ilikuwa ni kikundi kidogo cha wasanii wa Tanzania. Leo imekuwa ni jamii kubwa ya wasanii, wanamuziki, wanasarakasi na mafundi kadha wa …

Read More