22. Oktoba 2021

Mgeni Zanzibari

  Mash Marley, mtayarishaji wa nyimbo katika studio ya Stonetown Records huko Zanzibari, ambaye tayari alikuwa amerekodi wimbo wetu wa TanZebra, aliguswa sana na juhudi zetu za kuwasaidia watoto wasiojiweza, kwamba mara moja naye alianzisha chuo cha mpira wa miguu: Kwahani FC.   TanZebras FC ilialikwa kama mgeni rasmi wa …

Read More

Tamasha la Eid Mubarak

Huku msimu wa Ramadan ulipofika mwisho, Familia ya Tanzebra iliweza kukuja pamoja ili kusherehekea Eid Mubarak kama familia moja.   Watoto wote, karibu mia moja pamoja na familia zao walialikwa kwenye tamasha hili la kuvutia , ambapo kulikuwa na kucheza densi nyingi  na sherehe chungu nzima. Padri aliyewakilisha wakristo, pamoja …

Read More

Tunasema kwaheri Peter

Siku ya Alhamisi, tarehe 12 Machi, tulipokea habari ya kuhuzunisha mno ya kwamba  Hessenzebra wetu, alias Peter Routhier,  aliaga dunia baada ya kupambana na ugonjwa wake wa saratani. Ilikuwa ni mwezi uliopita tu ambapo tulituma matakwa yetu ya kupona katika video hii fupi : Sisi kama TanZebras, ambao tulijiunga na …

Read More